Category: Uncategorized

 

USHEMASI 2024, 25 Januari

Tarehe 25 mwezi wa kwanza katika sikukuu ya kuongoka kwa Mtakatifu Paulo kuliadhimishwa jimboni kigoma katika seminari ya Mt. Yosefu Iterambogo misa takatifu na kutoa daraja ya ushemasi kwa mafrateli; Flavian Joseph Lutakangwa na Petro Leonard Kabage, kwa kuwekwa Wakfu na Mhashamu Askofu Joseph Mlola ALCP/OSS Askofu wa Jimbo laRead More

BAHASHA YA JIMBO

On 7th December 2023, the diocese of Kigoma held an event known as “BAHASHA YA JIMBO”. The event took place at St. Maximilian Maria Kolbe Parish Mwilanvya. The function began with the Holy Sacrifice of Mass led by Very Rev. Fr. Evarist A. Guzuye, the Vicar General of Kigoma Diocese.Read More

SHEREHE YA UWUKI

Pongezi kwa Wajubileani wa miaka 25 katika utume, Upadre na Utawa. Tarehe 19 Octoba 2023, kulifanyika sherehe ya UWUKI ya kuwapongeza mapadre na watawa waliotimiza miaka 25 ya utume mwaka huu 2023.  Wajubiliani hao ni Padre Gratius Madugu, Padre Amedeus Ndeng’aso, ALCD/OSS,  Sr. Salvatoria Fridbert Rukonda, Sr. Salome Gaudence Mfumya,Read More

PRIEST’S ANNUAL RETREAT 2023

from October 2 to October 6,  priests who work in the Diocese had a moment of prayer, meditation and a rest in the time of their retreat which was done at pilgrimage  center of Buhabugali, conducted by a Carmelite Priest. with other activities, priests had time pass through some topicsRead More

UPADRISHO 2023

Tarehe 7 julai 2023, mama Kanisa jimbo la Kigoma alijipatia mapadre wapya watano, kwa kuwekwa wakfu na mhashamu Askofu Joseph Roman Mlola, ALCP/OSS Askofu wa jimbo la Kigoma.mapadre hao ni Padre ALSEN COSMAS, Pare GEORGE  MUHANUKA, Padre DIONISE MYIGEZO, Padre ROBERT Y. HILARY na Padre XAVERY BINYOGA.

Priest’s Annual Retreat – Buhabugali

Mk 10:32 – 45 From 14th to 18th Sept. 2020

EVENTS

– 20 January 1879: The arrival of the White Missionaries at Ujiji, on the Lakeshore of Tanganyika. – 23 July 1879: The Missionaries left Ujiji to Rumonge, Burundi. – 4 September: The Missionaries came back to Ujiji and tried to establish a mission and catechetical school. – May 1884: TheRead More

ORPHANAGE: “SANGANIGWA A”

In September 1993, a meeting between Astrid Strunden (volunteer of Kigoma Development Project and Norwegian Agency for Development Cooperation) and the Tanzanian Governement took place, which was the beginning of Sanganigwa Children’s Home. Later on, in January 1994, the then Bishop of the Catholic Diocese of Kigoma, Paul Ruzoka, joined theRead More

NZIMANO

Nzimano was built in 2000 and is situated only 500m from the railway station of Kigoma as well as the daladala (minibus) and taxi terminal. The market is situated about 100m from the railway station, and therefore is very close to Nzimano. The Cathedral of Catholic Church is very closeRead More

Past and Present Ordinaries

Date Event From To Vicariate Apostolic of Kigoma 10 May 1946 Erected Vicariate Apostolic of Tanganyika Vicariate Apostolic of Kigoma (erected) Diocese of Kigoma 25 March 1953 Elevated Vicariate Apostolic of Kigoma Diocese of Kigoma