UPADRISHO 2023

Tarehe 7 julai 2023, mama Kanisa jimbo la Kigoma alijipatia mapadre wapya watano, kwa kuwekwa wakfu na mhashamu Askofu Joseph Roman Mlola, ALCP/OSS Askofu wa jimbo la Kigoma.mapadre hao ni Padre ALSEN COSMAS, Pare GEORGE  MUHANUKA, Padre DIONISE MYIGEZO, Padre ROBERT Y. HILARY na Padre XAVERY BINYOGA.

Related Posts

SHEREHE YA UWUKI

Pongezi kwa Wajubileani wa miaka 25 katika utume, Upadre na Utawa. Tarehe 19 Octoba 2023,Read More

PRIEST’S ANNUAL RETREAT 2023

from October 2 to October 6,  priests who work in the Diocese had a momentRead More

Priest’s Annual Retreat – Buhabugali

Mk 10:32 – 45 From 14th to 18th Sept. 2020

Leave a Reply