SHEREHE YA UWUKI

Pongezi kwa Wajubileani wa miaka 25 katika utume, Upadre na Utawa. Tarehe 19 Octoba 2023, kulifanyika sherehe ya UWUKI ya kuwapongeza mapadre na watawa waliotimiza miaka 25 ya utume mwaka huu 2023.  Wajubiliani hao ni Padre Gratius Madugu, Padre Amedeus Ndeng’aso, ALCD/OSS,  Sr. Salvatoria Fridbert Rukonda, Sr. Salome Gaudence Mfumya, Sr.Kezia Julias Toyi, Sr. Vesta Sylvesta Kahere.  Watawa hawa wote ni wa Shirika la Moyo safi wa Maria (Bene Maria)

Related Posts

PRIEST’S ANNUAL RETREAT 2023

from October 2 to October 6,  priests who work in the Diocese had a momentRead More

UPADRISHO 2023

Tarehe 7 julai 2023, mama Kanisa jimbo la Kigoma alijipatia mapadre wapya watano, kwa kuwekwaRead More

Priest’s Annual Retreat – Buhabugali

Mk 10:32 – 45 From 14th to 18th Sept. 2020

Comments are Closed